M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Long overdueKaribuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi.
** Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines namna ya kusafirisha wahaya waliopo ughaibuni kuja kushiriki mbio hizi
Hawa jamaa kwa misifa wakongomani wakasomeWanataka waipiku kili mara nini?
[emoji23][emoji23][emoji23] (joke)
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mmefikia wapi mazungumzo?Karibuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi.
Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines namna ya kusafirisha wahaya waliopo ughaibuni kuja kushiriki mbio hizi.
View attachment 1694328
Imekaa vzrKaribuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi.
Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines namna ya kusafirisha wahaya waliopo ughaibuni kuja kushiriki mbio hizi.
View attachment 1694328
Wakora waitunimependa walivyofanya kiingilio sawa na bure, yaani unaonyesha phd yako tu mlangoni , kitu ambacho wahaya wengi wanalimudu!!
wakora sana!!
Bukoba mega city? Labda mega village!Karibuni katika mbio za Bukoba Mega City International Marathon zitakazoanzia Bukoba International Airport tarehe 28 Machi, 2021 saa 12 asubuhi.
Tupo kwenye mazungumzo na KLM na Qantas Airlines namna ya kusafirisha wahaya waliopo ughaibuni kuja kushiriki mbio hizi.
View attachment 1694328
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na ule mjini ulivo kama mtaaBukoba mega city? Labda mega village!