LGE2024 Bukoba: Mgombea wa ACT Wazalendo aenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa kushindwa kuelezea wadhfa anaoenda kugombea

LGE2024 Bukoba: Mgombea wa ACT Wazalendo aenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa kushindwa kuelezea wadhfa anaoenda kugombea

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Vuguvugu la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kushika kasi.

Kupitia mtandao wa X, kada wa ACT Wazalendo amefichua kuwa baadhi ya wagombea wa ACT Wazalendo wameenguliwa kwa kile kilichoonekana kuwa amekosea kuweka mdhamini sahihi na kushindwa kuelezea vizuri wadhfa anaoenda kugombea

Soma pia: Kibamba: Inadaiwa mtia nia ACT Wazalendo Kata ya Kwembe aenguliwa sababu ya kazi yake ya ujasiriamali!

BC.png


B1.jpeg


B2.jpeg
 
Back
Top Bottom