Elections 2010 Bukoba vijijini

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2006
Posts
543
Reaction score
160
Kituo Nkindo

Chadema 188
CCM 144
CUF 1

Udiwani
Chadema 169
CCM 68
 
I'm so proud to be Bukobanian. Bukoba wananchi hawataki utumwa.
 
Hivi haya matokeo ni ya kweli ama mnanizuga,kwani mpaka sasa nip chakari nimeanza sherehekea ushindi
mapinduzi daimaaaaaaaaa
 
Ukizingatia wana uhakika wa first lady kwa mara ya kwanza
 
Hivi haya matokeo ni ya kweli ama mnanizuga,kwani mpaka sasa nip chakari nimeanza sherehekea ushindi
mapinduzi daimaaaaaaaaa

Haya ndio yalisababisha Zanzibar... siku zote waseme kura zinachakachuliwa... Unajua majimbo yenye upinzani ndio yanatoa matokeo mapema... watu wanasherekea sasa... subiri matokeo yote yatoke.... consider you are a looser my friend... tuombe Mungu baada ya siku tatu nishitue.
 
Hivi haya matokeo ni ya kweli ama mnanizuga,kwani mpaka sasa nipo chakari nimeanza sherehekea ushindi
mapinduzi daimaaaaaaaaa

wee kula kilaji.....Slaa ndio rais wako
 


Yatoke wapi...Lindi mmelala! Tunajua balaa ni Moro, Dodoma, Singida na Tabora, na mtwara

Chadema
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Kagera
Tarime
 
I'm so proud to be Bukobanian. Bukoba wananchi hawataki utumwa.

Me too, I am very proud of my enriched cultural heritage...................................
 
Yatoke wapi...Lindi mmelala! Tunajua balaa ni Moro, Dodoma, Singida na Tabora, na mtwara

Chadema
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Kagera
Tarime

DREAMER, naongeza MWANZA NA SHINYANGA kwa raha zetu na TUKIKOMBA MIKOA MINGINE VILEVILE!
 
Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…