Elections 2010 Bukoba vijijini

Kuna mtu mzito ktk TISS alinitonya kuwa wanajua jk hawezi kupata kura za kumpa urais, lakini kutokana na stategy yao ya uchakachuaji watamtamgaza jk mshindi! Ila leo ami nitumia text msg anasema gap ni kubwa mno hata kuiba haitawezekana, so dr slaa ndiye atakayeapishwa ijumaa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA
 

Mungu yuko pamoja nasi! shetani hawezi kuendelea kutawala.
 
Bukoba ninaifahamu, hawataki upuuzipuuzi. wanataka mabadiliko. hongereni wana Bukoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…