LGE2024 Bukoba: Wagombea ACT Wazalendo takriban 150 waenguliwa sababu ikitajwa ni makosa kipengele cha udhamini wa chama cha siasa

LGE2024 Bukoba: Wagombea ACT Wazalendo takriban 150 waenguliwa sababu ikitajwa ni makosa kipengele cha udhamini wa chama cha siasa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Ameandika haya Mwanaisha Mndeme wa ACT Wazalendo kupitia ukurasa wake wa X;

"Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Katoro Bukoba takribani 150 wameenguliwa kwa sababu ya udhamini wa chama cha siasa.
Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa bofya hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

"TAMISEMI embu angalieni hiyo sehemu C kwenye udhamini kosa liko wapi? Fomu mbili za chini ni za mgombea wa CCM kutoka kata hiyo ambaye ameandika amezaliwa mwaka 2024 ila mwisho wa siku ameteuliwa. Hii sio SAWA.

"Rais Samia 4R ambazo umekuwa ukizihubiri zilipaswa zionekane kwenye uchaguzi. Acheni wananchi wachague viongozi wanaowataka."


Screenshot 2024-11-08 134226.png
Screenshot 2024-11-08 134244.png
Screenshot 2024-11-08 134254.png
Screenshot 2024-11-08 134307.png
 
ACT si tawi la ccm, sasa ngoja tuone muislamu mwenzao atawasaidiaje..... Zito ndumla kuwili.....
 
Back
Top Bottom