Mimi mwenzenu jamani huyu mdada,sio tuu namkubali kichizi,bali kiukweli, 。。。,, naomba nisimalizie,, ila nimeanza kumzimikia long time toka yuko CCM
Mbunge wa CCM, Esta Bulaya, ni mbunge pekee aliyesaini petition ya Zitto ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu! Chadema ikomppteza itakuwa imepoteza kitu kikubwa,na wasipoamua mapema kuwasamehe,hawa watatu,Halima Mdee,Ester Bulaya na Ester Matiko,watagombewa kama mpira wa kona na majimbo yao,wakosimama kupitia chama chochote,wana tusua!。
P