Viti maalumu viko fullLabda wapozwe na viti maalum
😄
Ova
viti maalumu CCM wameshapigiana kura mbonaLabda wapozwe na viti maalum
😄
Ova
Safi, haya ma Covid 19, yaende kupumzika sasa.Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert Maboto wa Jimbo la Bunda Mjini, majimbo yote ya mkoani Mara, kuongoza kwa kura.
Esther Mathiko na Ester Bulaya walitia nia ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia CCM, na kisha majina yao kuwa miongoni mwa waliopendekezwa kupigiwa kura za maoni.
Mathiko ameshika nafasi ya tatu kwa kupata kura 196 huku Michael Kembaki anayetetea nafasi yake akipata kura 1,568.
Bulaya amepata kura 625 huku Robert Maboto anayetetea kiti chake akipata kura 2,545.
Aliyewapeleka ni johnthebaptist wakamfate kwake awape plan b kama awapeleke chama Cha Wala ubwabwa ama vipiWapumzike Kwa amani.
Au wamfuate aliyewapeleka bungeni yupo CHAUMMA
Nitajie mbunge mmoja tu asiye wa maslahiHawa wanawake niliwashangaa sana. Ni wabunge masilahi
Waliokuwa wabunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ester Bulaya na Esther Mathiko, wameshindwa kuongoza katika kura maoni baada ya Wabunge wanaotetea nafasi zao Michael Kembaki wa Jimbo la Tarime Mjini na Robert Maboto wa Jimbo la Bunda Mjini, majimbo yote ya mkoani Mara, kuongoza kwa kura.