GE2025 Bulaya, Esther Mathiko washindwa kung'ara kura za maoni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bulaya katoka kusajiliwa fc Barcelona sasahiv tutamuona fc ndondo cup
 
Waende Chaumma
 
Hawa kenge wanastahili zaidi ya hicho walichokipata
 
Hongera Halima Mdee, walau umeonyesha haupo kimaslahi, kitendo cha kujizuia kutokwenda kwa maccm ni jambo jema sana.

Wanasiasa wengi ni njaa sana, hawawezi hata kujiajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…