beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge wa Viti Maalum, Ester Bulaya amesema kumekuwa na 'Double Standard' ambapo mifugo inapoingia hifadhini fidia kubwa hotozwa lakini wanyamapori kama Tembo wanapoenda kuharibu mali za wananchi fidia yake ni kidogo.
Akimjibu, Naibu Waziri wa Maliasili, Mary Masanja amesema ni kweli kumekuwa na changamoto ya wafugaji kutozwa fedha kubwa. Hata hivyo, ameeleza Serikali inachofanya ni kukemea uingizaji wa mifugo kwenye hifadhi.