Bulb zako za LED zimeungua? Usitupe, suluhisho limepatikana!

Tehya

Member
Joined
Dec 2, 2023
Posts
11
Reaction score
19
Bulb za LED Zimeungua? Usitupe – Tunazitengeneza!

Taa zako za LED zimeungua na hazifanyi kazi tena? Hapa ndipo suluhisho lako linapatikana Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua na kuzifanya kuwa mpya tena. Hakuna haja ya kutupa! Tunatoa huduma ya haraka na ya kuaminika, na taa zako zitakuwa kama mpya!

Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua – bila ya hitaji la kununua mpya!

Tunatengeneza bulb za LED za ofisi, nyumbani, na mapambo

Huduma ya haraka na bora kwa bei nafuu

Tuna patikana Dar es Salaam

Kwa maelezo zaidi au kupiga oda: Simu: 0689987201

Tutengeneze bulb zako, zirudi kuwa mpya tena!
 
nichome mafuta ya 10,000 na fee yako kwa ajili ya kutengeneza taa ya 3000
 
Bulb za LED Zimeungua? Usitupe – Tunazitengeneza!

Taa zako za LED zimeungua na hazifanyi kazi tena? Hapa ndipo suluhisho lako linapatikana Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua na kuzifanya kuwa mpya tena. Hakuna haja ya kutupa! Tunatoa huduma ya haraka na ya kuaminika, na taa zako zitakuwa kama mpya!

Tunatengeneza bulb za LED zilizoungua – bila ya hitaji la kununua mpya!

Tunatengeneza bulb za LED za ofisi, nyumbani, na mapambo

Huduma ya haraka na bora kwa bei nafuu

Tuna patikana Dar es Salaam

Kwa maelezo zaidi au kupiga oda: Simu: 0689987201

Tutengeneze bulb zako, zirudi kuwa mpya tena!
Biashara ngumu sana iyo yani mtu afunge safar hadi ofisin kwako ili Asevu 500.
 
Nadhani ulitakiwa utoe mafunzo Kwa wenzanko nchi mzima Ili waweze kutengeneza na sisi wateja tuzoee kupeleka bulb Kwa mafundi automatically ungepata wateja kirahisi
 
ulipaswa kuzikusanya kisha upige kimya
tuliosoma pysics bila kukariri tunakuelewa

kusanya izo taa zirekebishe najua ni kitu rahisi sana unaunga tuh apo palipoungua kukamilisha series kisa rudishia kwenye mabox yake uza upya
 
Za elfu 3 tunatengeneza kwa 1000 za 5000 kwa 1500
Sikia mkuu, ikiwezekana wewe zinunue mbovu, zenye hitilafu, tengeneza, rekebisha, kisha uza tena(sambaza kwenye maduka ya vifaa vya umeme)
Unanunua yale mabovu kwa mafungu, mfano taa 10 kwa elfu 1, kila moja hapo umeinunua kwa 100, rekebisha weka buku lako la ufundi na 400 kama usafiri, we wasambazie wauzaji kwa 1500, ye akiuza elfu 2 sawa, na kama zinakuwa zinatoka we hata ukiwauzia kwa buku buku tu bado itakuwa vema kuliko kukaa kusubiri wateja walete taa zao mbovu.
Kwanza kuna watu wapo mbali sana, mfano we unaweza ukawa chanika mie tegeta, ngumu kukuletea taa zangu 2 uzitengeneze, sababu ya nauli, muda na kitu chenyewe kipya nakipata kwa bei chee,
Ila wewe ukikusanya mbovu utazipata za watu wa tegeta, mbezi, kigamboni, kisha we unarelebisha unasambaza wananunua,
Hapo unakuwa umemtengenezea wa tegeta kwa namna nyingine
 
Sawa
 
ulipaswa kuzikusanya kisha upige kimya
tuliosoma pysics bila kukariri tunakuelewa

kusanya izo taa zirekebishe najua ni kitu rahisi sana unaunga tuh apo palipoungua kukamilisha series kisa rudishia kwenye mabox yake uza upya
Hili ndo Wazo
 
Back
Top Bottom