Bulembo jitokeze tena kumtetea Makamba

Bulembo jitokeze tena kumtetea Makamba

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
MSHAURI wa RAIS Siasa, Mheshimiwa Abdalah Bulembo jitokeze hadharani kumtetea Januari Makamba baada ya kutumbuliwa na Rais Samia kama ulivyofanya kipindi kile alipolipuliwa na Luhaga MPINA kuhusu kufuta mapato kinyemela kwenye kashfa ya ruzuku ya mafuta ya bilioni 100 kila mwezi, fedha ambazo hadi leo haijulikani alikuwa anapewa nani?

 
Back
Top Bottom