Kila mkilitaja jina hili huwa nastukia hayupo tena kwenye kumbu kumbu zangu. Nisaidieni jama, si huyu ndo alipewa viti maalum au viti vya kuteuliwa?? Huenda akaamriwa kujiuzulu viti hivyo sijui maalum/teuliwa ili lichaguliwe jembe la kuiongoza wizara neti ilozoroteshwa ya Nishati/madini. Nadhani huu ndo mpango wenyewe