Bull riding by Cowboys

Bull riding by Cowboys

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Naona huu mchezo ni wa hatari kuliko ata wrestling
Wale wazee wa usawa sioni wanawake wakicheza huu mchezo!
Naona umekaa kiume zaidi hasa pale unapoanguka na bull kukugeukia au ukawa uko chini akakupitia juu imagine kilo 300 zakupitia au kukukanyaga
Ni mzuri kuwatch ila ni wa hatarisana
 
Back
Top Bottom