Bullet proof vest ilivaliwa ili kumchafua mtu moja tu ndani ya CHADEMA ili aonekane ni kitisho kwa wengine na mbaya kwenye chama na jamii kwa ujumla

Bullet proof vest ilivaliwa ili kumchafua mtu moja tu ndani ya CHADEMA ili aonekane ni kitisho kwa wengine na mbaya kwenye chama na jamii kwa ujumla

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Hapakuwa na kitisho cha usalama kwa mTanzania yeyote wakati wa uchaguzi wa CHADEMA Taifa, bali ilikuwa ni drama ya kutafuta kiki, huruma kwa jamii na na baadhi ya viongozi wagombea kujaribu kuwapaint baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya CHADEMA, kwamba ni watu tishio, wenye nia na mipango ovu dhidi ya maisha na uhai wa wengine ndani ya chama chao.

Kulikoni sasa baada ya uchaguzi wa CHADEMA kwisha, hakuna kitisho cha kiusalama kwa mTanzania yeyote, wala hakuna tuhuma wala mipango ovu ya utekaji, na wala hakuna anavaa bullet proof vest?

Imekuaje tena bullet proof vest haivaliwi, wakati ilifanyiwa hadi press conference, kwa makelele na mdomo sana?

Serikali sikivu ya CCM ilisingiziwa kila aina ya uovu wa ndani ya CHADEMA. Haya sasa mbona songombingo na ngojera za utekaji kimya baada ya uchaguzi wa CHADEMA kwisha? Bila shaka, ni wazi sasa tatizo lilikua ndani ya CHADEMA yenyewe.

Pia soma > Tundu Lissu arudisha fomu makao makuu ya CHADEMA akiwa amevaa bulletproof. Hii ina maana gani?

Ndugu zangu wadau,
zile sarakasi za wanachadema kupotea kila wakati wa uchaguzi wao wa ndani haikua drama miongoni mwao wenyewe na kusingizia wengine?

Wataalamu wa bobevu wa masuala ya kisiasa nchini,
tulisema kwamba katika uongozi uliopo kazi kubwa na ya maana sana itakayofanyika ni vikao vya kufukuzana uanachama, press conference za mikwara ya umbwa koko, vitisho vya maandamano na matamko yasiyo na kichwa wala maskio,

Wanachama wengi muhimu watajiengua CHADEMA kujitenga na uongozi wa juu usioaminika na ulioghubikwa na unafiki wa kiwango cha juu sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Uchaguzi ushaisha kitambo, tumuache ajenge taaisisi, ambaye hajaridhika aende mahakamani watu wa ccm huwa wanasema, na wao wafuate tu mkondo mambo yaishe! Tubadili stori sasa, post mortem ishaisha pia na maombolezo yake.
 
Unahangaika sana, uchaguzi umeisha kuweni wapole jmn kha
nazungumzia kuvaliwa bullet proof vest gentleman,

nataka kujiridhisha tu kwamba uchaguzi wa ndani ya chadema ulikua na kitisho cha usalama kwa mgombea uongozi moja right?

nani alikua kitisho kwa mwingine?

vip hali ya usalama kwa sasa ndani ya chadema?🐒
 
Uchaguzi ushaisha kitambo, tumuache ajenge taaisisi, ambaye hajaridhika aende mahakamani watu wa ccm huwa wanasema, na wao wafuate tu mkondo mambo yaishe! Tubadili stori sasa, post mortem ishaisha pia na maombolezo yake.
Gentleman,
kwahiyo uchaguzi wa chadema ukisha na bullet proof vest haivaliwi tena mpaka uchaguzi wa chadema mwingine right?

bullet proof vest iko wapi sasa na nani alikua akitishia wengine ndani ya chadema?🐒
 
Mikono yenu ina damu za watu
Gentleman,
baada ya uchaguzi wa ndani ya chadema hali ya usalama ni shwari right?

ni nani hasa alikua threat kwa keep baraka hata akaanza kuvaa bullet proof vest kama mwanamgambo wa Hamas?🐒
 
Hapakua na kitisho cha usalama kwa mTanzania yeyote wakati wa uchaguzi wa chadema Taifa, bali ilikua ni drama ya kutafuta kiki, huruma kwa jamii na na baadhi ya viongozi wagombea kujaribu kuwapaint baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya chadema, kwamba ni watu tishio, wenye nia na mipango ovu dhidi ya maisha na uhai wa wengine ndani ya chama chao.

Kulikoni sasa,
baada ya uchaguzi wa chadema kwisha, hakuna kitisho cha kiusalama kwa mTanzania yeyote, wala hakuna tuhuma wala mipango ovu ya utekaji, na wala hakuna anavaa bullet proof vest?

Imekuaje tena bullet proof vest haivaliwi, wakati ilifanyiwa hadi press conference, kwa makelele na mdomo sana?

Serikali sikivu ya CCM ilisingiziwa kila aina ya uovu wa ndani ya chadema. Haya sasa mbona songombingo na ngojera za utekaji kimya baada ya uchaguzi wa chadema kwisha?
Bilashaka, ni wazi sasa tatizo lilikua ndani ya chadema yenyewe.

Ndugu zangu wadau,
zile sarakasi za wanachadema kupotea kila wakati wa uchaguzi wao wa ndani haikua drama miongoni mwao wenyewe na kusingizia wengine?

Wataalamu wa bobevu wa masuala ya kisiasa nchini,
tulisema kwamba katika uongozi uliopo kazi kubwa na ya maana sana itakayofanyika ni vikao vya kufukuzana uanachama, press conference za mikwara ya umbwa koko, vitisho vya maandamano na matamko yasiyo na kichwa wala maskio,

Wanachama wengi muhimu watajiengua chadema kujitenga na uongozi wa juu usioaminika na ulioghubikwa na unafiki wa kiwango cha juu sana 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Unaona wivu?? Vaa na wewe, sio fair kabisa gentleman 🚴🚴
 
Unaona wivu?? Vaa na wewe, sio fair kabisa gentleman 🚴🚴
sure,
sio fair kabisa kusingizia kiongozi mgombea uenyekiti mwenzako eti ni kitisho cha usalama wako hadi unavaa bullet proof vest,

usalama kwa sasa ukoje ndani ya chadema, mbona bullet proof vest haivaliwi tena?

kwanini walisingiziwa watu wa nje ya chadema 🐒
 
Back
Top Bottom