Buluba Mabelele: Kuikosoa Serikali ni muhimu, inasaidia Viongozi kufanya vizuri, Vijana wengi wamekuwa Chawa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

“Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA

Chanzo: Star TV

Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano wa Taifa CCM, Buluba Mabelele "Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe"
 
Unakosoaje ukiwa wapi je, ukiwa mwana CCM? Ukiwa mwanachama wa chama cha siasa, ukiwa mtanzania usie na chama?
 
Akili zimeanza kukaa sawa!sijui ni uchaguzi umekaribia!!?chama chetu hiki Huwa kina sura nyingi sana!
 
Chama kinakaribia kupasuka vipandevipande
wazalendo, wanzanzibar, mafisadi ndani ya chama na wale waliotemwa ktk teuzi
 
“Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA

Chanzo: Star TV

Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano wa Taifa CCM, Buluba Mabelele "Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe"
Umesma kweli bro
 
Chawa siku hizi ndio tunu ya Taifa.
 
Someni kuhusu "ostracism" mtanishukuru, kwakifupi ni tabia ya washika tokenge kukushughulikia endapo utakuwa na mawazo chanya yanayo wezesha jamii kupiga hatua lakini yanakatisha upatikanaji wa matonge yao
 
Huo ndiyo msingi wa tujitathmini na si kusifia kila Jambo kama wafanyavyo Wana CCM wa Bora cheo.
Hapo mantiki ya kukikosoa chama ni Kwa lugha za staha na hoja za kukijenga si Kwa kuwaka kama mbwa asiye na mchunga.
 
Joto la uchaguzi hili linazalisha habari zenye uhalisia na halihalisi. Luhaga Mpina mwana ccm anayekosoa lakini anapata upinzani wa hali ya juu sana toka kwa comrades wenzie.
 
Amenena vyema comrade, Nina wasiwasi anaweza kuundiwa zengwe na chawa kuwa ni sukuma gang!!
 
Back
Top Bottom