JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Lucas Mwashambwa hana akili ya kujadili hoja za kiandamizi kama hizi yeye ubongo wake uko programmed kusifia sifia tu ili atupiwe makombo.Lucas Mwashambwa na genge lako soma madini haya.
Amesomea kupigia makofi hoja ndogo ndogoLucas Mwashambwa hana akili ya kujadili hoja za kiandamizi kama hizi yeye ubongo wake uko programmed kusifia sifia tu ili atupiwe makombo.
Umesma kweli bro
“Kwa sasa CCM hai recruit Vijana wake kama zamani, vijana wameufanya uchawa kuwa kazi rasmi, taifa letu limejaa ubinafsi na unafiki wa hali ya juu sana, kuikosoa Serikali ni muhimu sana kwani inasaidia viongozi wetu kufanya vizuri zaidi” Buluba Mabelele - Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA
Chanzo: Star TV
Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano wa Taifa CCM, Buluba Mabelele "Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe"
Chawa siku hizi ndio tunu ya Taifa.

Someni kuhusu "ostracism" mtanishukuru, kwakifupi ni tabia ya washika tokenge kukushughulikia endapo utakuwa na mawazo chanya yanayo wezesha jamii kupiga hatua lakini yanakatisha upatikanaji wa matonge yao