Buluba Mabelele: Rais ana mamlaka makubwa sana, apunguziwe

Buluba Mabelele: Rais ana mamlaka makubwa sana, apunguziwe

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

“Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba.

Chanzo: Star TV
kwakweli muungwana ana mawazo mazuri mno ya kuondokea ccm,

na kwa siasa za Tanzania hiyo, ni ishara ya wazi na muhimu ya aliochoka upande moja na kuomba usajili upande mwingine kwa jirani, upande ambao hauna utaratibu wa kujitahimini na kujisahihisha kuhusu yale ambayo yanawahusu wenyewe...

ni aina ya watu ambao hata ukifuatilia maisha bidafsi ni zigzag tu hawez kudumu wala kutulia na familia moja, kwasabb ya mambo na changamoto ya ndani ya nyumba yake, anaweka wazi kwa umma 🐒
 
Lissu anakuambia "Imperial President". Huyu Kada wa ccm inabidi chama kitafute na kitengeneze makada wenye akili kama huyu. Sio machawa akina Mwijaku waongelee siasa. Ananikumbusha Dr Bashiru Ally kabla hajageuka nyuma na kuwa nguzo ya chumvi enzi zake kabla ya kulamba asali.
 
Back
Top Bottom