JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Minaona ni zaidi ya mfalmeRais wa Tanzania ni kama mfalme
kwakweli muungwana ana mawazo mazuri mno ya kuondokea ccm,
“Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba.
Chanzo: Star TV
Rais wa Tanzania ni mungumtuMinaona ni zaidi ya mfalme
Una maana wanaohitajika na kukubalika ni Chawa tu ???! 😳🙄Maisha yake ndani ya ccm yanahesabika rasmi kuanzia sasa, so sad!