K kaudagaa Member Joined Jan 14, 2012 Posts 31 Reaction score 3 Jul 31, 2012 #1 kuna habari ambazo sio rasmi zinazosema kwamba wafanyakazi wa bulyanhulu wamegoma kisasheria yao mpya ya mafao
kuna habari ambazo sio rasmi zinazosema kwamba wafanyakazi wa bulyanhulu wamegoma kisasheria yao mpya ya mafao
tanira1 JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 942 Reaction score 159 Aug 1, 2012 #2 kaudagaa said: kuna habari ambazo sio rasmi zinazosema kwamba wafanyakazi wa bulyanhulu wamegoma kisasheria yao mpya ya mafao Click to expand... hizo ni rasmi mkuu wamelisimika toka jana mkuu kwanza wanapinga cash yao kuitwa mafao
kaudagaa said: kuna habari ambazo sio rasmi zinazosema kwamba wafanyakazi wa bulyanhulu wamegoma kisasheria yao mpya ya mafao Click to expand... hizo ni rasmi mkuu wamelisimika toka jana mkuu kwanza wanapinga cash yao kuitwa mafao