Bumbuli ya January Makamba yashika mkia ukusanyaji mapato. Ni Halmashauri ya 185 kati ya 185,Wakurugenzi 85 wajieleza kwanini wasiwapishe wengine viti

  1. Bumbuli asilimia 58,
  2. Korogwe (67),
  3. Bunda (70),
  4. Nanyamba (71),
  5. Madaba (77),
  6. Manispaa ya Mtwara (78),
  7. Gairo (79) na
  8. Liwale (80).
  9. Itigi (81),
  10. Kilolo (81),
  11. Longido (82),
  12. Ushetu (82),
  13. Mvomero (83),
  14. Kishapu (84),
  15. Mji wa Korogwe (84),
  16. Nachingwea (85),
  17. Pangani (85),
  18. Bahi (86),
  19. Manyoni (86),
  20. Mpwapwa (87),
  21. Kilwa (87),
  22. Musoma (87),
  23. Nzega (87) na
  24. Arusha (88). Arusha kupitwa na hizi zote lazima kuna leakage mahali👇
  25. Lushoto (88),
  26. Nkasi (88),
  27. Geita (88),
  28. Iringa (88), Iringa kupitwa na hizi zote lazima kuna leakage mahali👇
  29. Hai (88),
  30. Kalambo (89),
  31. Ruangwa (89),
  32. Tandahimba (89), M
  33. anispaa ya Lindi (90),
  34. Itilima (91),
  35. Uvinza (91),
  36. Manispaa ya Morogoro (91) Morogoro kupitwa na hizi zote lazima kuna leakage mahali👇
  37. Busokelo (91).
  38. Nyang’hwale (91),
  39. Sengerema (91),
  40. Kibondo (91), Buchosa (91),
  41. Malinyi (92),
  42. Kwimba (92),
  43. Kasulu (92),
  44. Mbeya (92), Mbeya kupitwa na hizi zote lazima kuna leakage mahali👇
  45. Manispaa ya Singida (92),
  46. Chato (92),
  47. Kondoa (92),
  48. Uyui (93),
  49. Tarime (93),
  50. Mji wa Handeni (94)
  51. Newala (94).
  52. Moshi (94),
  53. Mtama (94),
  54. Msalala (94),
  55. Ikungi (94),
  56. Kilindi (95),
  57. Ukerewe (95),
  58. Songwe (95),
  59. Mji wa Tabora (95),
  60. Songea (95),
  61. Buatiama (95),
  62. Mji wa Makambako (95), Makambako kupitwa na 74 - 84 lazima kuna tatizo mahali
  63. Chalinze (95),
  64. Manispaa ya Kinondoni (96),
  65. Handeni (96),
  66. Manispaa ya Musoma (96),
  67. Kigoma (96),
  68. Manispaa ya Mpanda (97)
  69. Same (97).
  70. Manispaa ya Temeke (97),
  71. Ngorongoro (97),
  72. Mwanga (97),
  73. Mji wa Kigoma (97),
  74. Kilosa (97),
  75. Urambo (97),
  76. Masasi (98),
  77. Kyerwa (98),
  78. Mbogwe (98),
  79. Mji wa Nzega (99),
  80. Mji wa Tarime (99),
  81. Busega (99),
  82. Muleba (99),
  83. Mji wa Sikonge (99)
  84. Nyasa (99).
 
Hivi niulizie tu swali Dogo. Budget ya serikali kuu hua tunaishia % ngapi tafadhali nisaidie. Ili tuone Hawa wakubwa wanasemaje kuhusu budget yao

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
George Haule ni shemeji yake na Majaliwa tumbo moja na mke wa Majali Marry Majaliwa hivyo hawezi kufanywa kitu chochote
 
... hizo asilimia zinapotosha; wangeweka actual figures matokeo yangekuwa tofauti kabisa.
 
Ukusanyaji uendane na matumizi...
Wanakusanya hela za taka ila mitaa michafu
 
Hivi niulizie tu swali Dogo. Budget ya serikali kuu hua tunaishia % ngapi tafadhali nisaidie. Ili tuone Hawa wakubwa wanasemaje kuhusu budget yao

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
... fauilure huko chini ina-cascade hadi juu. Serikali kuu kushindwa kutekelea bajeti kwa 100% ni matokeo ya failure ya halmashauri.
 
Ndio maana sasa hivi tupo gizani.

Jamaa ana gundu sana.
 
Kilichozungumziwa hapa ni asilimia za makisio ya mapato na makisio hupangwa na halmashauri yenyewe nadhani pia umeona hata kinondoni, morogoro na moshi pamoja na kukusanya mapato mengi lakini hazikufikia makisio yao
 
Mwandishi sijakuelewa umetumia neno leakage kwa baadhi ya halmashauri wakati kiuhalisia halmashauri zote ambazo hazikufikisha asilimia 100 kuna leakage ndio mana hazikufikia malengo
 
... hizo asilimia zinapotosha; wangeweka actual figures matokeo yangekuwa tofauti kabisa.
Asilimia hazipotoshi zinaonyesha uhalisia wa upotevu wa mapato, mfano kinondoni inaweza kukusanya bil 10 wakati makisio labda ni bil 20 hiyo ni asilimia 50 ya makusanyo katika makisio yake, labda mkinga ikakusanya bil 2 wakati makisio yake ni bl 2 hiyo ni asilimia 100 ,hapo kinondoni itakua imekusanya pesa nyingi in actual figure kuliko mkinga lakini mkurugenzi wake lazima awajibishwe na ajieleze hizi asilimia 50 (bil 10) zimeenda wapi
 
Mwandishi sijakuelewa umetumia neno leakage kwa baadhi ya halmashauri wakati kiuhalisia halmashauri zote ambazo hazikufikisha asilimia 100 kuna leakage ndio mana hazikufikia malengo
Neno leakage kama uthibitisho kwamba hawajafikia 100 moja ya chanzo ni mivujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…