Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hivi tukisema uoneshe UD original ilipo utaweza? nijuavyo pale kuna CONAS,COET,SOED,COICT,that means DUCE ni kama COET, au SOED,hapo kwenye Rangi ulimaanisha nini? UD Original iko wapi?Mbona wenye Chuo chao wenyewe hawajapata? Namaanisha wa UD original na wewe unasema chezea UD...UD ipi?
Swali langu lilikuwa mtu anaposema chezea UD wewe wakati yupo DUCE na wale wa UD...i.e wa Main Campus hawajapata boom anataka kumaanisha nini? Kama unadhani SOED ni sawa na DUCE utakuwa umechemkaHivi tukisema uoneshe UD original ilipo utaweza? nijuavyo pale kuna CONAS,COET,SOED,COICT,that means DUCE ni kama COET, au SOED,hapo kwenye Rangi ulimaanisha nini? UD Original iko wapi?
Uko chuo gani mkuu?naona kila dalili za jf kuvamiwa na mamluki
DUCE watu tunasaini boom kwa kwenda mbele. Cheze UD weye!
Lecturers, professors etc, hawa 'form 1' wenu hamuwapi kazi mpaka wanapata muda wa kufurahia booom?? Mngelikuwa mmewabana kisawasawa hawawezi kuchekelea senti tano hizo. ndio maana products zenu ni maji ya maharage. wape kazi wape kazi!!!!!!!!!!!
Swali langu lilikuwa mtu anaposema chezea UD wewe wakati yupo DUCE na wale wa UD...i.e wa Main Campus hawajapata boom anataka kumaanisha nini? Kama unadhani SOED ni sawa na DUCE utakuwa umechemka[
Jibu sahihi ungesema watu wa college fulani hawajapata,na sio wenye UD original,because there is nothing known as wenye UD Original,ila nakubaliana na wewe kuwa kuna main campus but that doesnot make one kusema wenye UD original,maana yake kuna fake yakena sijui ipo wapi hiyo
Tukubaliane kutokubaliana....kwa sababu inaoenekana umepata shida sana kwa neno original... Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kubwa kati ya COET,UDSL,UDBS,SOED na CASS (Main Campus) kwa upande mmoja na DUCE au MUCE kwa upande mwingine. Mambo yao ni almost yanajitegemea na kwa hiyo mtu anaposema UD tumeshapata....aangalie admission letter yake inasemaje?Swali langu lilikuwa mtu anaposema chezea UD wewe wakati yupo DUCE na wale wa UD...i.e wa Main Campus hawajapata boom anataka kumaanisha nini? Kama unadhani SOED ni sawa na DUCE utakuwa umechemka[
Jibu sahihi ungesema watu wa college fulani hawajapata,na sio wenye UD original,because there is nothing known as wenye UD Original,ila nakubaliana na wewe kuwa kuna main campus but that doesnot make one kusema wenye UD original,maana yake kuna fake yakena sijui ipo wapi hiyo
nimekupata baada ya kusema kuwa aliyepost maada hakutakiwa kusema UD bcoz kuna sehemu walikuwa hawajapata.But you were wrong kusema wenye originalTukubaliane kutokubaliana....kwa sababu inaoenekana umepata shida sana kwa neno original... Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kubwa kati ya COET,UDSL,UDBS,SOED na CASS (Main Campus) kwa upande mmoja na DUCE au MUCE kwa upande mwingine. Mambo yao ni almost yanajitegemea na kwa hiyo mtu anaposema UD tumeshapata....aangalie admission letter yake inasemaje?
Kama vipi nenda uangalie vile vitambulisho vyao.Vitambulisho vyote vinaonesha UD isipokuwa pale chini vinaonesha College uliyo,hata kwenye admission barua ni ya UDM ila inaonesha kuwa umekuwa allocated college fulani.Offcourse just like that I have understood what you meant.Nadhani ulitaka kusemawale wa main campus hawajapata ila ulitumia msamiati ambao haukuwa sahihi.Tukubaliane kutokubaliana....kwa sababu inaoenekana umepata shida sana kwa neno original... Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kubwa kati ya COET,UDSL,UDBS,SOED na CASS (Main Campus) kwa upande mmoja na DUCE au MUCE kwa upande mwingine. Mambo yao ni almost yanajitegemea na kwa hiyo mtu anaposema UD tumeshapata....aangalie admission letter yake inasemaje?
MUCE na DUCE mambo yao wala hayjitegemei,nguvu aliyo nayo principal wa CONAS ndiyo hiyohiyo aliyo nayo wa MUCE/DUCE,tofauti yao ni Distance from main CampusTukubaliane kutokubaliana....kwa sababu inaoenekana umepata shida sana kwa neno original... Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kubwa kati ya COET,UDSL,UDBS,SOED na CASS (Main Campus) kwa upande mmoja na DUCE au MUCE kwa upande mwingine. Mambo yao ni almost yanajitegemea na kwa hiyo mtu anaposema UD tumeshapata....aangalie admission letter yake inasemaje?
Humu ndani hata hatufahamiani, unajua kama I'm talking from horse' mouth? Kaulize status ya Mukandala MUCE/DUCE ndio utajua tofauti otherwise tutakuwa tunachangamsha jukwaa tu hapa.MUCE na DUCE mambo yao wala hayjitegemei,nguvu aliyo nayo principal wa CONAS ndiyo hiyohiyo aliyo nayo wa MUCE/DUCE,tofauti yao ni Distance from main Campus
Ngoja nifanye utafiti Mkuu....Uziri nipo jirani sana na hizi Taasisi zote 3,Kama vipi nenda uangalie vile vitambulisho vyao.Vitambulisho vyote vinaonesha UD isipokuwa pale chini vinaonesha College uliyo,hata kwenye admission barua ni ya UDM ila inaonesha kuwa umekuwa allocated college fulani.Offcourse just like that I have understood what you meant.Nadhani ulitaka kusemawale wa main campus hawajapata ila ulitumia msamiati ambao haukuwa sahihi.
Ndio hivyo nilivyotaka kusema....mfupa hauna uliminimekupata baada ya kusema kuwa aliyepost maada hakutakiwa kusema UD bcoz kuna sehemu walikuwa hawajapata.But you were wrong kusema wenye original
ni uzuri na sio uziri...Ngoja nifanye utafiti Mkuu....Uziri nipo jirani sana na hizi Taasisi zote 3,