Mwasampeta
Member
- Jul 25, 2014
- 13
- 1
Jamani eti ni kweli Kuwa pesa za pt na tp zinaanza kulipwa next week j3 na j4? Mliokaribu na vyanzo vya habari tuhabarisheni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
idiot, sasa wewe hizo taarifa umezitoa wapi? Kwanini usithibitishe hukohuko ili utuletee taarifa za uhakika??? Sasa hapa umekuja kutoa taarifa au kuuliza? Mnajaza tu hili jukwaa kwa post zisizokuwa za msingi.