idiot, sasa wewe hizo taarifa umezitoa wapi? Kwanini usithibitishe hukohuko ili utuletee taarifa za uhakika??? Sasa hapa umekuja kutoa taarifa au kuuliza? Mnajaza tu hili jukwaa kwa post zisizokuwa za msingi.

Wewe ndo idiot. hujitambui sababu ya stress zako. umejaa ujinga kichwani. mleta mada anauliza means kapata tetes. hana uhakika. jf ina watu wengi wenye taarifa mbalimbali anataka mwenye taarifa aitoe. wewe kwa ujinga na labda kutojua idiot maans yake nini unamtukana. Huna cha kuchangia kaa kimya. idiot
SAMAHANI Mwasampeta na Hess, comment yangu imewaudhi, na nimeiondoa kabisa. Lakini ukifuatilia hili jukwaa utaona ni jinsi gani post zinazohusu tp nk zilivyo nyingi, na mi nadhani ni vyema humu kuweka taarifa za msingi na sio hisia na yanayosemwa mitaani, kila mtu akiweka hizo humu hapatatosha.
Ukizingatia hizi tetesi zinaongeza shida tu, hazisaidii chochote. Ni bora tukasubiri hadi watakapo toa kama hatuwezi kuchukua hatua zozote, badala ya kulumbana tu huku, niombe radhi tena kwa neno kali nililotumia. Nawatakia jumapili njema.