Bunda mpo tayari? The return of Comrade Wasira

Bunda mpo tayari? The return of Comrade Wasira

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wanabunda mpo tayari kuona mchuano wa watani wa jadi wawili Ester Bulaya na Stephen Masatu Wasira?

Za chini ya kapeti wababe hawa wawili wanajiandaa kurudi ulingoni 2025.

FB_IMG_1695222641453.jpg
 
Wasira apumzike! Imetosha!! Nadhani hata Chama hakiwezi kumpitisha!!
 
Hapana...

Komredi Wassira apumzike tena...[emoji120]

#SiempreCCM[emoji120]
 
Cha ajabu Bulaya atachukua fomu kupitia CHADEMA na hakuna kitu makao makuu itafanya maana itakua too late na fomu Ina mhuri wa NEC. Inabidi haya mambo yawekwe vizuri mapema tusije jikuta Kila Jimbo tuna wagombea ambao hawakupewa fomu za chama alafu yakatokea kama ya viti Maalum tena.
 
Back
Top Bottom