Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wanabunda mpo tayari kuona mchuano wa watani wa jadi wawili Ester Bulaya na Stephen Masatu Wasira?
Za chini ya kapeti wababe hawa wawili wanajiandaa kurudi ulingoni 2025.
View attachment 2756128
Hivi uko siliazi kweli??! Huyo Babu nani atamchaguaWanabunda mpo tayari kuona mchuano wa watani wa jadi wawili Ester Bulaya na Stephen Masatu Wasira?
Za chini ya kapeti wababe hawa wawili wanajiandaa kurudi ulingoni 2025.
View attachment 2756128