Asubuhi nimepita pale makao makuu msimbazi washabiki wamejaa wanataka uongozi uachie ngazi haraka, hili ndio soka letu la nchi hii ukiona kuna furaha jangwani basi msimbazi lazima kuna msiba,na ukiona kuna sherehe msimbazi lazima jangwani wana matanga.
Pia kuna nyepesi nimezipata pale msimbazi wachezaji wa kigeni wamegoma kwenda Songea kucheza na majimaji mpaka walipwe mishahara yao.
Wewe jamaa haya unayoyasema akiyasikia mkuu GENTAMYCINE atakuja akutoe roho. Watu wana hasira na timu yao wewe unaleta siasa!!!!!!!!!?? Wamechoka kuvumilia kuitwa wa Mchangani fc, wanataka timu yao ile ya miaka ya 2003 sio hii ya siku hizi kila mtu hujipigia tu, akitaka Toto anapewa, Mwarabu wa Tanga anakula, Wajela jera wanakula, Jana Wametoa mpaka kwa Wasukuma wa kule Shinyanga, tabia hii inamtia aibu mume wake wa toka Zamani Yanga, Kwann atoe toe hovyo hivo??????hao hawana issue za kufanya, unaweza kuta hata kadi za uanachama hawajalipia
Chuuraaa..... wa ...Asubuhi nimepita pale makao makuu msimbazi washabiki wamejaa wanataka uongozi uachie ngazi haraka, hili ndio soka letu la nchi hii ukiona kuna furaha jangwani basi msimbazi lazima kuna msiba,na ukiona kuna sherehe msimbazi lazima jangwani wana matanga.
Pia kuna nyepesi nimezipata pale msimbazi wachezaji wa kigeni wamegoma kwenda Songea kucheza na majimaji mpaka walipwe mishahara yao.
Wabaya ni pope na kabulu,yaan wao ndio waMuzi wa yote aveva hana sauti ni bendera fuata upepo
Hahah! Mikia bana eti wakiharibu wamatopen wanasema mpira wa bongo kwan mpira wa bongo ndio simba ?Mpira wa Bongo ni shida tu!
Ina maana kuongoza Simba ni haki ya Wambura tu? Ina maana haki ya wapenzi, wanachama, washabiki na wafuasi wa Simba wasiohusika na hizo figisu na/au wasioegemea upande wowote si chochote kuliko 'haki' ya Wambura peke yake kuiongoza Simba? Ni Mungu wa wapi huyo anayeumiza wengi kwa kumlipia mmoja?hii ni laana ya Michael wambura, inawatafuna viongozi wa simba.
Walimfanyia yule ndugu figisu, figisu, ili Aveva achukue uongozi, wakiongozwa na Damas ndumbaro.
Sasa wanavuna walichokipanda. Haki ya mtu haipotei. Haswa pale unaponyanganywa haki yako na kunyamaza, ni mkwaju mzito sana kwa Adui zako.