Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Zitto binafsi niliwahi fanya nae mazungumzo ya simu sehemu moja nilipoona ana chuki za wazi kwa magu...pia ni mdini mdini niliacha kabisa kumkubali kwenye simu ile alitoa maneno ya hovyo sana juu ya magu nakumbuka ilikuwa saa tatu usiku siku hiyo
Tuachane na hayo ila zitto chama chake kuna shida gani mbona wagombea wake wote toka chama kimeanza wamefariki ....
Wasije watu wakaanza kuogopa kugombea
Tukianza mama magwila tumezika, seif tumezika ,,membe tumezika RIP
Kuna bundi / roho ya vifo ACT maombi muhimu ....au wakishindwa wafukie mbuzi ishirini pale magomeni