Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi wote wanne ni wa rangi tofauti. Bundi niliyemuona leo mda huu naandika ana rangi ya njano usoni
Bundi niliyemuona last time alikuwa mweupe ana madoa meusi mwili mzima
Bundi niliyemuona kabla ya huyu alikuwa na rangi nyingi
Imekuwa kero kwangu kuona bundi, maeneo ya Dar -Manzese, tena wakiwa wa rangi tofauti. Kuna jamii ya bundi kiasi gani maeneo haya mpaka wanakuwa wengi kiasi hiki
Mwisho, hawajawahi kulia hawa bundi. Wananyatia tu, Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?