ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hiv kwa mfano coment kama hii unai practice vipi au unaiwekaje kwenye uhalisiaMkuu usiwaue au kuwadhuru hao ni viumbe wazuri tu. Usiwahofie badala yake jifunze kuwasiliana nao kwa kuwaangalia tu na kukaa kimya bila kuwachokoza. Fanya tahajudi jiunganishe nao watakusaidia sana.
Vibaya sanaUnamaanisha no vibaya kuua bundi?
mkuu umeona na kuandika hapohapo unaogopa sanaBundi niliyemuona leo mda huu naandika
nimeona umeandika "Bundi niliyemuona leo mda huu naandika" yani ile act a kumuona bundi na kuandika hapohapo ni kama ulikua unahofu na kuhitaji msaada wa haraka jf mkuu ni mawazo yangu tu ambayo hayafiki hata level ya muswada achilia mbali sheriaNilikuw macho. Kuogopa ni kwa sababu nimeandika keronataka kuwaua? Au
Haha litro acha ukorofi. Subiri watu washushe story za kutunga ukosoe, hifadhi criticism 😄nimeona umeandika "Bundi niliyemuona leo mda huu naandika" yani ile act a kumuona bundi na kuandika hapohapo ni kama ulikua unahofu na kuhitaji msaada wa haraka jf mkuu ni mawazo yangu tu ambayo hayafiki hata level ya muswada achilia mbali sheria
Bundi kama kuku wana rangi tofautitofati, pia wana aina km. wengibe ni mbegu kubwa kama walivyo popo. Huyo mweupe ni whitelegon kana kuku na mweusi ni malawi na mwekundu rhode island red nk. Kuna vingjne mbegu ndogo kama chiriku. Angalia mfano wa parots walivyo aina nyingiKuwaona aina 4 tofauti za bundi na rangi tofauti
Sikutegemea kumuona bundi mweupe pia
Unafuga panya?Je napenda kuuliza hali hii ni ya kawaida?
Yeah nimefuga kuku, bata, na parrors before naweza kurelate na unachosemaBundi kama kuku wana rangi tofautitofati, pia wana aina km. wengibe ni mbegu kubwa kama walivyo popo. Huyo mweupe ni whitelegon kana kuku na mweusi ni malawi na mwekundu rhode island red nk. Kuna vingjne mbegu ndogo kama chiriku. Angalia mfano wa parots walivyo aina nyingi
Mazingira nayoishi kuna panya kwa sababu ya mifugo. Panya huwa wanakuja kula pumbaUnafuga panya?
Waveja guku.Oya mi mchaga wa Rombo huko sio ngosha