Watajibu pale ambapo na wenyewe wataona madhara, kama mtu ana mshahara wa milioni 5, anaweza kuiba mali ya umma bila kushtukiwa, mabilioni na mabilioni, kwa nn aongee. Hana sababu ya kuongea. Ni mwanafalsafa tu ndo anaweza kua true kwenye haya mambo. Ila viongozi wote ni wafanya biasharaUtashangaa Hakuna Jibu Mambo Yatabaki Kama Mwanzo
Nadhani Viongozi Wanapewa Bahasha