Bundle TZ Jameni acheni kulalamika oneni nchi zingine😂😂😂

Bundle TZ Jameni acheni kulalamika oneni nchi zingine😂😂😂

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
IMG_2292.png
 
Wanasiasa watakusumbua sana kwani unajua 1 central african franc ni sawa na dollar ngapi? au 1 CFD ni sawa na dollar ngapi? na thamani ya hizo hela kwa tz?
 
Sisi tunazungumzia yakwetu hayo mengine hayatuhusu, wao watawala ndio wa kwanza kusema tusijilinganishe Wala kujifananisha na nchi zingine
 
Back
Top Bottom