fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Nov 9, 2023 #2 aah wapii
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Nov 9, 2023 #3 Aaaah c'mon Nape we know you.
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Nov 9, 2023 #4 Na lakwao linaisha fasta Kama la kwetu
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,319 Reaction score 9,003 Nov 9, 2023 #5 Wanasiasa watakusumbua sana kwani unajua 1 central african franc ni sawa na dollar ngapi? au 1 CFD ni sawa na dollar ngapi? na thamani ya hizo hela kwa tz?
Wanasiasa watakusumbua sana kwani unajua 1 central african franc ni sawa na dollar ngapi? au 1 CFD ni sawa na dollar ngapi? na thamani ya hizo hela kwa tz?
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Nov 9, 2023 #6 Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Tanzania shilingi ngapi!!?? Bila hivyo habari yako ni ya hovyohovyo
Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Tanzania shilingi ngapi!!?? Bila hivyo habari yako ni ya hovyohovyo
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 Nov 9, 2023 #7 Kwanini mnapenda kujilinganisha na wengine?
speech JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 484 Reaction score 1,266 Nov 9, 2023 #8 Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Vip kuhusu mfumo wa maisha hko ndio kitu kikubwaaa....
Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Vip kuhusu mfumo wa maisha hko ndio kitu kikubwaaa....
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Nov 9, 2023 #9 Ricky Blair said: EView attachment 2808717 Click to expand... Sasa Nape unajitetea nini kwani una kampuni ya simu?
Ricky Blair said: EView attachment 2808717 Click to expand... Sasa Nape unajitetea nini kwani una kampuni ya simu?
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Nov 9, 2023 #10 Sisi tunazungumzia yakwetu hayo mengine hayatuhusu, wao watawala ndio wa kwanza kusema tusijilinganishe Wala kujifananisha na nchi zingine
Sisi tunazungumzia yakwetu hayo mengine hayatuhusu, wao watawala ndio wa kwanza kusema tusijilinganishe Wala kujifananisha na nchi zingine
DeoMic Member Joined Jul 21, 2023 Posts 91 Reaction score 139 Nov 9, 2023 #11 Kwani hali za ichumi zinafanana?
Buenos Aires JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 1,894 Reaction score 1,622 Nov 9, 2023 #12 Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Huko wanazo pesa, utalinganisha na maisha ya bongo!!
Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Huko wanazo pesa, utalinganisha na maisha ya bongo!!