Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Aina ya wabuNge kama covid 19 inafanya kuwa vigumu kwa baadhi ya masomo shuleni mfano civics kufundishika,,kuna wakati ni vigumu kumfundisha mtoto aina za wabunge tulionao!Bunge lenye wabunge fake, nalo Mambo yake mengi Ni fake
Bado bunge letu ni joke. Sincerely Unawezaje kuwa na mtunga sheria std 7 kwa mfano!Naomba WANASHERIA wetu Waliobobea kwenye Masuala ya KATIBA watuelimishe KISHERIA Je Uwepo wa WABUNGE kinyume na KATIBA ya NCHI na Kushiriki VIKAO na Kuchangia HOJA Mbalimbali na Kupitisha Misuada na SHERIA mbalimbali huku Wakiwa Hawana SIFA za kuwa WABUNGE Kutokana na KUFUKUZWA Uanachama Wao ndani ya CHAMA Chao Je BUNGE hilo ni HALALI kwa MUJIBU wa SHERIA?
1. Hapana SI HALALI . Ni kutokana na KUTOCHAGULIWA NA CHAMA CHAO KUINGIA BUNGENI kabla hata hujaongelea KUFUKUZWA!huku Wakiwa Hawana SIFA za kuwa WABUNGE Kutokana na KUFUKUZWA Uanachama Wao ndani ya CHAMA Chao Je BUNGE hilo ni HALALI kwa MUJIBU wa SHERIA?
Hawa Wabunge 19 watamtafuna Mr. Mnyika hadi ale wembe. Kuna barua yake kamili Tume ya Uchaguzi inayotoa hayo majina passport shaka, kwa nini anaulizwa Spika?Naomba WANASHERIA wetu Waliobobea kwenye Masuala ya KATIBA watuelimishe KISHERIA Je Uwepo wa WABUNGE kinyume na KATIBA ya NCHI na Kushiriki VIKAO na Kuchangia HOJA Mbalimbali na Kupitisha Misuada na SHERIA mbalimbali huku Wakiwa Hawana SIFA za kuwa WABUNGE Kutokana na KUFUKUZWA Uanachama Wao ndani ya CHAMA Chao Je BUNGE hilo ni HALALI kwa MUJIBU wa SHERIA?
Weeee, wacha hizo! TLS haijafa bwana, it is alive and kicking. Umesahau majuzi tu Dr Kamelezya ndiyo sijui mkuu wao alimwagiza Samia (hazarani) aitishe uchaguzi mpya ili apate mbunge awe Waziri Mkuu aape kwake upya?Linakuwa halina tofauti na mkutano wa hadhara wa kijiji...