Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 2 Januari 29, 2025

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari 29, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili miswada miwili ya sheria.

Muswada wa kwanza ni wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 3) wa Mwaka 2024 na kisha litajadili na hatimaye kupitisha Muswada wa pili wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 4) wa Mwaka 2024.

Fuatilia moja kwa moja Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 2 Januari 29, 2025.

 
Vipi reforms za uchaguzi wanazohitaji wadau?
 
Huo muda mkuu ungefanya kazi nyingine au urafute habari zingine
 
Hakuna bunge, ni kusanyiko la wezi wa kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…