bunge la bajet

bunge la bajet

Joined
May 28, 2012
Posts
8
Reaction score
1
vp baada ya bunge la bajet kuna uwezakano wa kutoa nafasi nyingine za ajira kwenye mikoa na wilaya mpyamana ajira zilozotolewa sidhani kama zinajitosheleza,nying ni za wapishi,walinzi na madereva😛ainkiller:
 
ajira ni lazima zitatoka maana moja ya vipaumbelke vya bajeti ijayo ni kuendeleza maeneo mapya ya utawala
 
Kuajiri tena kama si November mwaka huu basi ni kusubiri mwaka mwingine wa fedha July 2013.
 
Back
Top Bottom