S salvatory mushi Member Joined May 28, 2012 Posts 8 Reaction score 1 Jun 13, 2012 #1 vp baada ya bunge la bajet kuna uwezakano wa kutoa nafasi nyingine za ajira kwenye mikoa na wilaya mpyamana ajira zilozotolewa sidhani kama zinajitosheleza,nying ni za wapishi,walinzi na madereva😛ainkiller:
vp baada ya bunge la bajet kuna uwezakano wa kutoa nafasi nyingine za ajira kwenye mikoa na wilaya mpyamana ajira zilozotolewa sidhani kama zinajitosheleza,nying ni za wapishi,walinzi na madereva😛ainkiller:
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Jun 13, 2012 #2 ajira ni lazima zitatoka maana moja ya vipaumbelke vya bajeti ijayo ni kuendeleza maeneo mapya ya utawala
ajira ni lazima zitatoka maana moja ya vipaumbelke vya bajeti ijayo ni kuendeleza maeneo mapya ya utawala
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 444 Jun 13, 2012 #3 Kuajiri tena kama si November mwaka huu basi ni kusubiri mwaka mwingine wa fedha July 2013.