Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Bunge la Ghana limeunga mkono marekebisho yanayopendekezwa kwenye muswada wa kupinga ushoga ambao ungewafanya wanaojitambulisha kuwa Mashoga wahukumiwe kifungo cha miaka mitatu gerezani.
Marekebisho hayo yalipata uungwaji mkono kutoka kwa kundi la wabunge wa vyama vyote, lakini bado yatafanyiwa uchunguzi zaidi kabla ya kuwa sheria.
Watetezi wa haki za Mashoga pia wanaweza kukabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 gerezani.
---
The Ghana parliament has backed a proposed amendment to an anti-gay bill that would make identifying as LGBT punishable by a three-year prison sentence.
The amendments were backed by a cross-party group of MPs, but will be scrutinised again before becoming law.
People who campaign for LGBT rights could also face up to 10 years in jail.
BBC