Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Ukiristo na kubaka umekujaje. Tetea dini lako la kikatili. Umeona kanisan akifingishwa ndoa mtoto wa 9yrs au makanisa yakiunga mkono hilo. Acha uzwazwa hakuna din hapo
 
Mapokeo wakati mwingine ni ujinga mtupu.
Kwa kuwa tunaambiwa Mtume alioa mtoto wa miaka 9 nayo hii wanataka kuifanya ionekane ni kawaida.
Acha sheria ipite afu tuone ni mzazi gani mwenye utimamu wa akili ambaye atakuwa tayari kumwozesha mtoto wake wa miaka 9 kwa hii mibaba mibakaji inayobaka watoto wadogo kwa mgogo wa dini..
Hii dunia ingeishia hapa tulipofikia...
 

Sharia law ni kitu gani ?
 
Huu ni UGAIDI zaidi ya kujilipua.
Uislamu bila UGAIDI si uislamu.
 
Asalamq lekum
 
Ukiristo na kubaka umekujaje. Tetea dini lako la kikatili. Umeona kanisan akifingishwa ndoa mtoto wa 9yrs au makanisa yakiunga mkono hilo. Acha uzwazwa hakuna din hapo
Sa swali nani kaozesha huko Iraq mtoto wake miaka 9? Hebu tuonyesheni maneno mengi kama kwaya za kikristo.
 
Mtume wao si alioa wa miaka 9 au 6?

Si ajabu wanamuiga Allah wao
 
Unakaa na waislamu gani wasozini, malaika hao wanapatikana mtaa gani?
Uzinifu ni tabia ya mtu haihusiani na marafiki wala mitaa unayo tokea. Mimi namini wazi ukisali salaa 5 nyuma ya Imam mda wa mwezi tu, bila kumiss salaa moja basi shetani anakukimbia, na uzinifu au fitna zozote za shetani zinakukimbia.

Sio uwende kusali kwa kushow off.
 

Huu sio ubakaji? Na kitu kibaya ni kutumia mistari ya misahafu kuhalalisha uharamu huu.
Nani anayedanganya watu kuwa huu sio ubakaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…