Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9

Sio dini ila ni wao tu wananchi na uchu wao hakuna dini inayo liruhusu ilo jambo.
 
Ww ni mtumwa wa fikra na hakuna unachojua.

Mtoto miaka tisa unamwacha aamue yeye suala nyeti kama hilo?

Yaani umri huo ukimkuta na mbaba unajua yupo kutafuta mchumba?

Dini zinawaharibu sana ubongo.
Utumwa wa fikra umekaaje
 
Yaan Hawa majamaa na dini Yao ya mo ni shida Sana. Yaan hawawazi vitu vya maana. Kila kukicha yanawaza namna ya kimkandamiza Mtoto wa kike tu.
 
Wanafuata Nyayo za muasisi
 
Kama ni sheria ya dini katiba inapaswa kufanyiwa mabadiliko watoto wapate haki ya ndoa
 
Makanisani wamezidi laana na dhambi
Wao wanafungisha ndoa za machoko na wasagaji sasa
Kwao ndio fakhari hiii na ndio haki za binaadam
Hayo sio makanisa bali ni vijiwe vya mashoga wanaotaka kuharibu dini ya wakristo. Tupe aya zinazoruhusu ushoga toka kwenye biblia.. hiyo dini yako ni ya kikatili sana. Imagine 9yrs apelekewe moto wa inch 7 atahimili kweli.? Tumia akili achana na dini ya mudi aliyeoa mtoto wa 9yrs
 
Sasa wewe na hao wenye makanisa yenu nani wana akili?
Ungeanza kutumia wewe kwanza akili kama unazo
Nipe aya kwenye Qur an mtume Muhammad s a w kaoa binti wa miaka tisa
Halaf kama unashida ya kujibiwa koment zako s a w umpe heshma yake sio mudi ni Muhammad s a w
 
Hujawahi kuona?
Nna mtoto wa rafiki yangu anaitwa Neema kavunja ungo ana miaka 8 sijui tisa
Mwisho:- hata mtoto avunje ungo ana miaka 20 ndoa ni makubaliano baina yake na anaetaka kumuoa
Kwa hiyo ukamtamani?!
 
Limtume Lao lenyewe si lilioa kitoto cha miaka 9?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…