Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Screenshot_20250122-183819.png

Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.

Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.

Pia, Soma:
Bunge la Iraq lapokea muswada wa kupunguza umri wa kuolewa kutoka miaka 15 mpaka miaka 9
Serikali ya Kiislamu ya Iraq yapendekeza sheria Watoto Miaka tisa kuolewa
 
View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.

Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.

Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu

😂😂😂😂😂
Double standard
Naomba FaizaFoxy, Minjingu Jingu waione hii
 
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.

Sheria hiyo mpya inazipa mahakama za Kiislamu mamlaka zaidi katika kushughulikia masuala ya kifamilia kama vile ndoa, talaka, na mirathi, huku ikiondoa sheria ya hapo awali inayokataza ndoa za watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ambayo imekuwepo tangu miaka ya 1950.

Sheria hiyo imebainisha kuwa Waislamu wa Shia ambao ndio wengi zaidi nchini Iraq, umri wa chini zaidi wa kuolewa utakuwa miaka tisa, na wa Sunni, umri rasmi utakuwa miaka 15.
Gh6Gl4uWcAAWPgn.jpg
 
Leo bunge la Iraq limepitisha sheria ya mabadiliko ya ndoa ambayo imetangaza kuruhusu watoto wa miaka 9 kuolewa.

Sheria hiyo mpya imefuta sheria iliyokuwepo toka mwaka 1950 iliyokataza mtoto wa chini ya miaka 18 kuolewa. Sasa ni ruksa kuoa mtoto wa hadi miaka 9.

Soma mwenyewe.

View: https://x.com/swahilitimes/status/1882089682642620733?s=19

Nasikia wamechimba biti kwamba Trump asipoachia Madaraka huko Marekani, watapitisha sheria ya mtoto kuolewa akishaanza kung'oka meno ya mbele
 
View attachment 3210378Si mnataka maendeleo na haki hapo mashariki ya kati. Si mnapendelea kutetea watoto wanaonewa wa mashariki ya kati.

Anzisheni nyuzi basi au muingie mtaani kufanya maandamano maana sidhani nyie binafsi mtataka binti zenu wa miaka 9 kuolewa.

Au hadi Liwe bunge la Israel ndio lifanye hivyo ndio iwe makosa na uoenevu

😂😂😂😂😂
Double standard
😳😳😳 Hizi ni Tamaa za KISHETANI KABISA. MTOTO WA MKAKA 9
 
Back
Top Bottom