Bunge la Iraq limepitsha rasmi sheria ya kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Mkuu alafu unakuta wanawaita magharibi mashetani sasa sijui wao tunawaitaje
NAULIZA . Katika dini ya kikristo umri wa kuoa na kuolewa ni miaka mingapi?! Ukijibu uweke na andiko! Ninavyofahamu habari ya kuolewa na kuoa kuanzia mika 18 tumeletewa na wakolini.
Sasa nauliza wakristo inatakiwa uwe na miaka mingapi ndio uoe au uolewe? Pomoja na andiko tafadhali!.
 
Maislamu sijui yakoje haya majitu.
NAULIZA . Katika dini ya kikristo umri wa kuoa na kuolewa ni miaka mingapi?! Ukijibu uweke na andiko! Ninavyofahamu habari ya kuolewa na kuoa kuanzia mika 18 tumeletewa na wakoloni.
Sasa nauliza wakristo inatakiwa uwe na miaka mingapi ndio uoe au uolewe? Pomoja na andiko tafadhali!.
 
NI USHETANI WA AJABU SANA. NAANGALIA MTOTO WANGU HAPA WA MIAKA 9 AJE MTU ASEME ANATAKA KUMWOA. NITAMKATAKATA MAPANGA HUO NI UBAKAJI KABISA ...USHETANI
NAULIZA . Katika dini ya kikristo umri wa kuoa na kuolewa ni miaka mingapi?! Ukijibu uweke na andiko! Ninavyofahamu habari ya kuolewa na kuoa kuanzia mika 18 tumeletewa na wakoloni.
Sasa nauliza wakristo inatakiwa uwe na miaka mingapi ndio uoe au uolewe? Pomoja na andiko tafadhali!.
 
Bora umbwa anajitambua

Hawa ni fisi mkuu🤮🚮🤮🤮
NAULIZA! . Katika dini ya kikristo umri wa kuoa na kuolewa ni miaka mingapi?! Ukijibu uweke na andiko! Ninavyofahamu habari ya kuolewa na kuoa kuanzia mika 18 tumeletewa na wakoloni.
Sasa nauliza wakristo inatakiwa uwe na miaka mingapi ndio uoe au uolewe? Pomoja na andiko tafadhali!.
 
Huyu jamaa anayejiita nabiii wa kiarabu alileta mambo ya ajabu Sana duniani, watu wanaoa vitoto,wanaoa dada zao, mambo ya ajabu Sana na mbaya zaidi baadhi ya waafrika wameiga ujinga huu
 
Sijaona kilipoolewa kitoto cha miaka 6 au 9 katika Biblia. Wakoloni nadhani walitumia busara. Mtoto wa miaka 9? Huyu ni mdogo jamani. Huo ni Ulafi na Ukafir wa ajabu sana. Uasherati wa kiwango cha juu sana. Mtoto akue kue hata miaka ya 16 na kuendelea. ANGALAU. 9 UNA https://jamii.app/JFUserGuide NA MTOTO WAKO KABISA. UNAVUAJE HATA NGUO?UNAJALI TU KUTIMIZA TAMAA ZAKO? USHETANI HUO.
 
Wewe unaona ni sawa mtu kutafutiwa mume katika huo umri? Malezi ya mtoto kisheria na haki za binadam anatakiwa ayapate akiwa wapi? Endapo muhusika atamwingilia kimwili huyo mtoto kabla ya utu uzima ni Sheria zipi atachukuliwa? Unauhakija huyo mtoto akikua atavutiwa na huyo mzee? Huo mfumo wenu ni wa ukandamizaji kijinsia na kihisia,hata ww huwez mpa mtu mtoto wako akamlee Kwa wazaz wake halafu akikua amuoe,huo ni upunguani
 
Inashangaza unakuta kuna fala anatetea ujinga huu
 
Kuna watu wanasema tu ni sawa lakini ebu fikiria mwanao wa miaka 9 anaolewa haimake sense ni unyama mkubwa aisee
 
Aisha hakuna mahala alizungumzia hii habari ?
 
Kwakweli hamna dini bora kuliko nyingine lakini kwa hili acha nidiliki kusema kuwa hao ndugu zetu ni wàpumbavu
 
Huku kwetu mtoto wa miaka tisa hata kifua nguo zake za ndani hawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…