ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ni uchaguzi MkuuSi unajua kifuatacho? ๐ ๐
Sahihi kabisa.Ni uchaguzi Mkuu
Yaani huo uchaguzi fanyeni kiroho safi, lakini cdm haishiriki huo upuuzi. Cdm watakuwa wajinga kushiriki huo uchaguzi kama fashion, wakati matokeo yameshapangwa. Shirikini na vyama vinavyohitaji hisani ya ccm kufanya siasas. Cdm ni NRNE.My Take
Maisha bila Chadema yanaendelea na maandalizi ya Uchaguzi yamepamba moto.
Ukisusia wanakula.
==============
Bunge la 12 la Tanzania limevunjwa rasmi leo kufuatia maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoyatoa Juni 27, 2025 wakati akihitimisha shughuli za bunge hilo jijini Dodoma.
Kuvunjwa kwa bunge hilo ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Uchaguzi au kujichagua?My Take