Bunge la katiba 300, 000 haiwatoshi wabunge, 45, 000 inawatosha madereva wa mawaziri

Bunge la katiba 300, 000 haiwatoshi wabunge, 45, 000 inawatosha madereva wa mawaziri

kimeta cha ufisadi

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
398
Reaction score
70
Mawaziri kuweni na huruma na madereva wenu why wapewe 45, 000 ili khali na wao wanakaa hotelm wanakula hotel? PAUL MAKONDA kama mawaziri wameshindwa kuwatetea madereva wao ebu ingilia kati
 
kwa kweli hapo hakuna uzalendo....at least wapewe hata laki moja na wao c binadam kam wao
 
Back
Top Bottom