K kimeta cha ufisadi JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 398 Reaction score 70 Feb 24, 2014 #1 Mawaziri kuweni na huruma na madereva wenu why wapewe 45, 000 ili khali na wao wanakaa hotelm wanakula hotel? PAUL MAKONDA kama mawaziri wameshindwa kuwatetea madereva wao ebu ingilia kati
Mawaziri kuweni na huruma na madereva wenu why wapewe 45, 000 ili khali na wao wanakaa hotelm wanakula hotel? PAUL MAKONDA kama mawaziri wameshindwa kuwatetea madereva wao ebu ingilia kati
T takrima Member Joined Feb 14, 2013 Posts 18 Reaction score 7 Feb 24, 2014 #2 kwa kweli hapo hakuna uzalendo....at least wapewe hata laki moja na wao c binadam kam wao