Bunge la Katiba: CHADEMA imekosea sana katika hili

Katiba itapatikana kwa maridhiano si kwa kushindana,

si chadema wala ccm watakuwa washindi kwenye katiba mpya bali watnzania,

cdm hawataki kuonekana wanahodhi mchakato wa katiba ndo maana huwaoni wakiweka msimamo wa chama mbelekwenye mchakato huu,

lakini msimamo wao ni kuwa vyovyote iwavyo kama mchakato huu utavurugwa kwa makusudi na kundi fulani kutoka chama fulani kuhamasisha wananchi kuikataa katiba
kwenye kura za maoni,

kama cdm watafanya lobbing kwenye swala la utashi binafsi wa kila mjumbe watakosea sana na itonekana wana maslahi ya kichama si ya nchi,

kama katiba ni ya wananchi kuna haja gani ya lobbing? Ni kuheshimu mawazo ya wanachi, na kuachia mchakato uflow naturaly

kama unamawazo kwamba ccm watashinda kwenye mchakato huu unajidanganya.
Vivyo hivyo kwa chadema,

hakuna chama kinaweza shindana na matakwa ya wananchi kikasimaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…