UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
Nimesikitiswa sana na namna bunge linavyoendeshwa huku wananchi tukiwa hatuna access na taarifa mbali mbali na nyaraka Za wazi ambazo tunapaswa kuzielewa. Kwa nini wasiige Mfumo Kama wa tume ya katiba kuwa na website ambako nyaraka zitawekwa au watumie basi website ya bunge la jamhuri kuweka nyaraka mbalimbali mfano kwa sasa rasimu ya kanuni Za katiba ilipaswa kuwa wazi. Hii dhamira ya kutunyima uhuru wa taarifa wakati ni haki yetu?