Bunge la Katiba lina uwezo wa kufumua na kuibadili Rasimu iliyopo?

Bunge la Katiba lina uwezo wa kufumua na kuibadili Rasimu iliyopo?

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Tambo zimesikika wazi wazi.
Tume imesema kwamba Wabunge wa Bunge hili la Katiba hawana uwezo wa kubadili rasimu iliyopo na kuja na rasimu ama katiba mpya. Hii ina maana vifungu vilivyomo ambavyo vimewekwa na Tume vinapaswa kuhaririwa tu na si kuvibadili...

Sitta, (Mwenyekiti wa Bunge) anasema hilo siyo sahihi. hivyo Bunge lina uwezo wa kuipitia na kuifumua rasimu ili kuja na yenye kukidhi viwango na maslahi ya wananchi.

Nani mkweli hapo?

Pia uwepo wa Rasimu mbadala (kama ilivyotangazwa wakati bunge linaanza vikao) ni sawa kisheria?
 
Back
Top Bottom