Bunge La katiba linanirudisha tena ktk "Uhuru na wajibu" CCM bado wanadhani wajibu ni mipaka

Bunge La katiba linanirudisha tena ktk "Uhuru na wajibu" CCM bado wanadhani wajibu ni mipaka

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,204
Inaelekea watu hawakuelewa sana somo langu kuwa uhuru hauna mipaka ..Na uhuru unakwenda sambamba na wajibu.Hapa ndipo kichwa cha CCM hakipo. Hili somo lilikuwa gumu sana hadi kwa wana JF... Sasa hivi miCCM iliyokwenda sule na isisyo kwenda shule ipo busy kuwekea wananchi mipaka, ipo busy ikidhani maridhiano yanaishia ktk ya wao na CDM bungeni.. Wajibu unafanya mtu atake haki ya habari km anavyohitaji wajibika kuitunza hiyo haki, kusem akilicho kweli ,kutopindisha au potosha kitu akusudi, na hata pale weledi unakosekana basi aliyepewa haki ya habari atajipima na kukiri kuwa pengine hastahili report hiyo taarifa. wajibu unapelekea mtu kupima hadi timing ya kutoa habari ktk jamii km anahisi jamii kwa ujumla itakuwa biased. Simbachawene kajisahau kuwa inawezekana kuwa hata waowote bungeni wanaweza kuwa wanapotosha habari..na hivyo mwandishi akatafuta ukweli na kuureport vyema
 
Uhuru na Wajibu ni "duality"
 
Kwa elimu ya kijamaa ni ngumu sana kuweka sheria zinazobana asiyewajibika bila kumwekea mtu mipaka..ni logic ngumu sana.
 
Back
Top Bottom