Katika kikao kilichoendelea bungeni wakati mwenyekiti akiahirisha hadi ijumaa ndipo akasimama mbunge mmoja na kutamka kwa sauti kubwa "HATUJASAINII" ndipo mwenyekiti akamtoa wasi wasi kua karatasi ipitishwe na wasaini mahudhurio, mimi nilipata hisia kua mbunge yule alikua anakumbushia posho ya kikao isije ikasahauliwa kwa siku ya leo maana alihisi bila kusaini kusingekua na posho