Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Mkurugenzi wa Chama cha Viziwi Tanzania (Chavita), Dickson Mveyange alisema kitendo alichokifanya Rais Kikwete kushindwa kumteua mwakilishi wao kimewasononesha.Alisema nchi nzima kuna wanachama zaidi ya milioni mbili wa chama hicho, lakini kundi hilo halitakuwa na mwakilishi katika Bunge
Habari hii nimeisoma kwenye gazet la mwananch la leo feb 9,
MTAZAMO WANGU: Kwakua Bunge la Katiba limejaa sana wanasiasa,na kwakua Mzee Kingunge yupo kwenye Orodha ya wawakilishi wa asasi za kiraia,napendekeza jina lake litolewe ili awekwe mwakilishi yeyote wa VIZIWI.